Uko hapa: NyumbaniHabari2021 06 20Article 543559

Habari za Mikoani of Sunday, 20 June 2021

Chanzo: globalpublishers.co.tz

Letshego Yatoa Msaada wa Jezi za Michezo Shule ya Sekondari Juhudi

Letshego Yatoa Msaada wa Jezi za Michezo Shule ya Sekondari Juhudi Letshego Yatoa Msaada wa Jezi za Michezo Shule ya Sekondari Juhudi

Letshego Yatoa Msaada wa Jezi za Michezo Shule ya Sekondari Juhudi June 20, 2021 by Denis MtimaMsimamizi wa Masoko wa Benki ya Letshego, Selestino Nachenga akikabidi Jezi kwa wanafunzi wa Sekondari ya Juhudi.Wafanyakazi wa Benki ya Letshego, Selestino Nachenga(kushoto), Leah Phili (wa pili kushoto) na Ludovick lugalema (katikati) wakiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Juhudi baada ya kupokea misaada.Meneja wa Benki ya Letshego tawi la Temeke, Leah Phili (kushoto) akibadilishana mawazo na Mkuu wa Shule ya Juhudi na Mjumbe wa Bodi wa Shule ya Sekondari ya Juhudi.

Katika kuunga juhudi za serikali hususani katika sekta ya michezo  Benki ya Letshego, imekabidhi vifaa vya michezo (jezi) kwa Shule ya Sekondari ya Juhudi ya jijini Dar es Salaam.