Uko hapa: NyumbaniHabari2021 09 14Article 557443

Habari Kuu of Tuesday, 14 September 2021

Chanzo: globalpublishers.co.tz

Live: Rais Samia Anazindua Mkakati Wa Uelimishaji Wa Sensa, Alikiba, Diamond ndani

Live: Rais Samia Anazindua Mkakati Wa Uelimishaji Wa Sensa, Alikiba, Diamond ndani play videoLive: Rais Samia Anazindua Mkakati Wa Uelimishaji Wa Sensa, Alikiba, Diamond ndani

Live: Rais Samia Anazindua Mkakati Wa Uelimishaji Wa Sensa, Alikiba, Diamond Waudhulia… September 14, 2021 by salama

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, Leo Septemba 14 amezindua mkakati wa uelimishaji na uhamasihaji wa Sensa ya watu na makazi jijini Dodoma… Wasanii mashuhuri Alikiba na Diamond ni miongoni mwa wageni waliohudhuria uzinduzi huo…