Uko hapa: NyumbaniHabari2021 08 25Article 553717

Uhalifu & Adhabu of Wednesday, 25 August 2021

Chanzo: millardayo.com

Live:Usiku huu kinachoendelea nyumbani kwa jamaa aliyeuwa Askari wanne

Live:Usiku huu kinachoendelea nyumbani kwa jamaa aliyeuwa Askari wanne play videoLive:Usiku huu kinachoendelea nyumbani kwa jamaa aliyeuwa Askari wanne

Ayo TV & Millardayo.com imeweka kambi mahali inapoaminika alikuwa akiishi Hamza, jamaa aliyefanya mauaji ya Askari wawili na watu wengine wawili akiwemo Mlinzi

Unaweza ukabonyeza play kutazama live mubashara kile kinachoendelea nyumbani kwa jamaa alieuwa Askari Wanne.