Uko hapa: NyumbaniHabari2021 06 10Article 541942

Habari Kuu ya

Chanzo: ippmedia.com

Mabasi 12 yazuiwa kusafiri, kuhatarisha maisha ya abiria

Mabasi 12 yazuiwa kusafiri, kuhatarisha maisha ya abiria Mabasi 12 yazuiwa kusafiri, kuhatarisha maisha ya abiria

Mkuu wa Jeshi la Polisi kitengo cha Usalama barabarani nchini, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Jeshi la Polisi, Wilbroad Mutafungwa ameyazuia mabasi hayo leo asubuhi alipofanya ziara ya kushtukiza katika Kituo Kikuu cha Mabasi cha Mkoa wa Mbeya.

Kamanda Mutafungwa alifanya ziara hiyo ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, Inspekta Jenerali Simon Sirro la kuyakagua mabasi yote nchini ili kuzuia ajali ambazo zinazuilika.

Join our Newsletter