Uko hapa: NyumbaniHabari2021 06 06Article 541276

Habari Kuu of Sunday, 6 June 2021

Chanzo: millardayo.com

Magereza yakanusha vurugu kutokea gerezani aliko Sabaya (+Audio)

Magereza yakanusha vurugu kutokea gerezani aliko Sabaya (+Audio) play videoMagereza yakanusha vurugu kutokea gerezani aliko Sabaya (+Audio)

Mkuu wa Magereza Mkoani Arusha Godson Mwanagwa amekanusha taarifa zilizoripotiwa na baadhi ya mitandao ya kijanii zikidai kwamba aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hi Lengai Ole Sabaya alifanya vurugu mahabusu baada ya kutakiwa kuoga.

“Alipokelewa vizuri tu hakuna vurugu zilizotokea, hakuna tukio kama hilo lililotokea huyo unayemtaja aliyetoa taarifa mngemuuliza amezitoa wapi mimi muhusika nakuambia wanaoripoti ni waongo” Godson Mwanangwa Mkuu wa magereza mkoa wa Arusha

Join our Newsletter