Uko hapa: NyumbaniHabari2021 05 26Article 540001

Uhalifu & Adhabu ya

Chanzo: millardayo.com

Maiti kufukuliwa Gairo wanne wakamatwa, RPC "Wilaya ya ushirikina" (+video)

Maiti kufukuliwa Gairo wanne wakamatwa, RPC play videoMaiti kufukuliwa Gairo wanne wakamatwa, RPC "Wilaya ya ushirikina" (+video)

Watu wanne wa Kijiji cha Nguyami Kata Idibo Wilaya ya  Gairo mkoani  Morogoro wanaashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kufukua kaburi la marehemu aliyefahamika  kwa jina la Rehema  Michel.

Hatua hiyo inakuja ikiwa ni  siku chache zimepita baada ya kuripotiwa kwa tukio la kufukuliwa kaburi la Marehemu huyo ambapo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro Fortunatus Muslim amewataka wananchi kutoa ushirikino kwa Jeshi hilo ili kuwabaini  wahusika walioshiriki katika kitendo hicho.

Join our Newsletter