Uko hapa: NyumbaniHabari2021 09 20Article 558553

Habari za Mikoani of Monday, 20 September 2021

Chanzo: eatv.tv

Majaliwa awabana viongozi Kagera Bil. 2.6 za Rais

Majaliwa awabana viongozi Kagera Bil. 2.6 za Rais Majaliwa awabana viongozi Kagera Bil. 2.6 za Rais

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewaagiza viongozi wa Mkoa wa Kagera wahakikishe wanasimia vizuri miradi mbalimbali ya maendeleo inayotekelezwa katika maeneo yao ukiwemo na huo wa ujenzi wa kituo cha maegesho ya magari makubwa Nyakanazi wilayani Biharamulo.

Septemba 18, 2021 wakati akizungumza na wananchi katika eneo la Nyakanazi baada ya kukagua ujenzi wa kituo hicho ambao unagharimu sh. bilioni 2.6 na unatarajiwa kukamilika Novemba, 2021.