Uko hapa: NyumbaniHabari2021 09 23Article 559300

Habari Kuu of Thursday, 23 September 2021

Chanzo: millardayo.com

Makamu wa Rais amuagiza Makamba "Tanesco tutafagia wote narudia mara ya mwisho"

Makamu wa Rais amuagiza Makamba play videoMakamu wa Rais amuagiza Makamba "Tanesco tutafagia wote narudia mara ya mwisho"

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Philip Mpango amemuagiza Waziri wa Nishati, January Makamba hadi kufikia October 15, 2021 awe amefika Kigoma ili kutatua kero ya kukatikakatika kwa umeme mara kwa mara ambayo imedumu Mkoani humo kwa zaidi ya mwezi sasa.

Mpango ametoa maagizo hayo leo katika ufunguzi wa maonesho ya tatu ya Shirika la Viwanda Vidogo ( SIDO ) 2021 ambayo Kitaifa yamefanyika Wilayani Kasulu Mkoani Kigoma.