Uko hapa: NyumbaniHabari2021 06 11Article 542299

Habari Kuu of Friday, 11 June 2021

Chanzo: millardayo.com

Mama Maria Nyerere amtelembelea Mama Janeth Magufuli (+picha)

Mama Maria Nyerere amtelembelea Mama Janeth Magufuli (+picha) Mama Maria Nyerere amtelembelea Mama Janeth Magufuli (+picha)

Leo June 11, 2021 Mjane wa Baba wa Taifa, Mama Maria Nyerere amemtembelea Mjane wa aliyekuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania awamu ya tano Dr. John Pombe Magufuli, Mama Janeth Magufuli nyumbani kwake Dar es salaam leo.SABABU ZA JOSEPH KUSAGA KUANZISHA TV MPYA TANZANIA

Join our Newsletter