Uko hapa: NyumbaniHabari2022 01 13Article 585520

Habari Kuu of Thursday, 13 January 2022

Chanzo: www.tanzaniaweb.com

Mama asimulia kilichotokea Sakata la Askari aliyemchinja baba yake (+Video)

Waombolezaji wakiwa nyumbani kwa Marehemu play videoWaombolezaji wakiwa nyumbani kwa Marehemu

Mama Mzazi wa Mussa Edward Ndonde Askari wa JWTZ MT.109772 Kikosi cha Ruvu JKT mkoani Pwani Bi Renatha Ndonde ameeleza hali Ilivyo kua nyumbani kabla mwanae kumuua baba yake.

Bi Renatha anadai siku ya Tukio Mtuhumiwa alifika nyumbani hapo asubuhi na kurushiana maneno na baba yake.

Tazama Video kujua kilichotokea;