Uko hapa: NyumbaniHabari2021 08 26Article 553900

Habari za Afya of Thursday, 26 August 2021

Chanzo: TanzaniaWeb

Maralia imepungua nchini kutoka 14.5 % hadi 7.5%

Mbuu waenezao malaria Mbuu waenezao malaria

Mkurugenzi Msaidizi, Huduma za Jamii katika Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Dkt.Rasheed Maftah amesema Maambukizi ya ugonjwa Malaria nchini yamepungua.

Maftah amesema maambukizi yamepungua kwa asilimia 14.5 hadi kufikia asilimia 7.5. hali ambayo imepelekea kupunguza idadi ya vifo vitokanavyo na ugonjwa huo kulingana na hapo awali idadi ya vifo ilikuwa ni kubwa.