Uko hapa: NyumbaniHabari2021 06 03Article 540874

Habari za Afya of Thursday, 3 June 2021

Chanzo: millardayo.com

"Marufuku kununua au kuuza dawa kwenye magari,hairuhusiwi iwe basi au treni" - TMDA (+video)

play video"Marufuku kununua au kuuza dawa kwenye magari,hairuhusiwi iwe basi au treni" - TMDA (+video)

Mamlaka ya dawa na vifaa tiba kupitia kwa mkurugenzi wa mamlaka hiyo Adam Fimbo, amesema kwamba ni marufuku abiria kununua dawa mbalimbali hasa za kutibu magonjwa zinazouzwa kwenye magari na vyombo vingine vya usafiri nakusema kwamba endapo mnunuzi na muuzaji watakamatwa watachukuliwa sheria.

Mkurugenzi huyo amesema kabla yakutumia dawa inapaswa mtu kupata ushauri wa wataalamu wa afya ikiwa ni pamoja nakupata vipimo.

Join our Newsletter