Uko hapa: NyumbaniHabari2021 08 24Article 553276

Uhalifu & Adhabu of Tuesday, 24 August 2021

Chanzo: millardayo.com

Mashahidi:Mbowe adaiwa kutafuta Makomandoo wa JWTZ kumdhuru Sabaya

Mashahidi:Mbowe adaiwa kutafuta Makomandoo wa JWTZ kumdhuru Sabaya play videoMashahidi:Mbowe adaiwa kutafuta Makomandoo wa JWTZ kumdhuru Sabaya

NI Agosti 23, 2021 ambapo Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeelezwa na mashahidi kuwa Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe aliomba kutafutiwa Makomandoo Wanajeshi waliofukuzwa kazi au Wastaafu, ili awatumie katika kuwadhuru Viongozi wa Serikali akiwemo aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya.

Kufahamu kilichojiri Mahakamani hapo unaweza ukatazama hii video hapa ufahamu A-Z kile kilichojiri Mahakamani.