Uko hapa: NyumbaniHabari2021 08 27Article 554056

Uhalifu & Adhabu of Friday, 27 August 2021

Chanzo: millardayo.com

Mauaji mengine DSM, walinzi wauawa kamanda ataja sababu (video+)

Mauaji mengine DSM, walinzi wauawa kamanda ataja sababu (video+) play videoMauaji mengine DSM, walinzi wauawa kamanda ataja sababu (video+)

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya DSM, linamshikilia mtu mmoja anayejulikana kwa jina la Mohammed Jumaa kwa tuhuma za mauaji ya Walinzi wawili wa Kampuni ya Forte Security ambao ni Eliakimu Moro na Sanko Bakary.

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya DSM, ACP Muliro Jumanne Muliro amesema tukio hilo limetokea Agosti 26, 2021 saa 12 jioni maeneo ya Tungi Wilaya ya Kigamboni.