Uko hapa: NyumbaniHabari2021 05 26Article 540037

xxxxxxxxxxx of Wednesday, 26 May 2021

Chanzo: millardayo.com

"Mawaziri marufuku kunyanyasa watu wengine mabingwa kuweka rumande" Silaa (+video)

Mbunge wa Jimbo la Ukonga, Jerry Silaa ameitaka Serikali kuweka Utaratibu mzuri wa kufanya uthamini na kulipa Wananchi kwa wakati akisisitiza lazima Fedha ziwe zimeshatengwa wakati uthamini unafanyika.

Wakati wa Majadiliano ya Bajeti ya Wizara ya Ardhi, amesema “Mara nyingi uthamini unafanyika lakini Taasisi inaagiza hivyo hata Fedha kwenye Bajeti haijatengewa. Matokeo yake Fidia zinachelewa na Wananchi wanapata shida”.

“MAWAZIRI NI MARUFUKU KUNYANYASA WATU, KUNA WENGINE MABINGWA KUWEKA WATU NDANI”-JERRY SILAA

Join our Newsletter