Uko hapa: NyumbaniHabari2021 10 13Article 563116

Habari Kuu of Wednesday, 13 October 2021

Chanzo: millardayo.com

Mbinu za Kijeshi kumchanganya adui na helcopter kabla ya kutua (video+)

Mbinu za Kijeshi kumchanganya adui na helcopter kabla ya kutua (video+) play videoMbinu za Kijeshi kumchanganya adui na helcopter kabla ya kutua (video+)

Jeshi la ulinzi la Wananchi wa Tanzania JWTZ kwa kushirikisha Vikosi vya usafirishaji wa anga, Shule ya mafunzo ya huduma SMH Pangawe na Shule ya mafunzo ya awali ya kijeshi RTS Kihangaiko, limeendelea na mazoezi makali kwa Askari wake kupitia kozi ya Maafisa wateule kundi la 03/21.