Uko hapa: NyumbaniHabari2021 09 24Article 559471

Uhalifu & Adhabu of Friday, 24 September 2021

Chanzo: millardayo.com

Mbowe afikishwa Mahakamani

Mbowe afikishwa Mahakamani Mbowe afikishwa Mahakamani

Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na wenzake wamefikishwa katika Mahakama Kuu ya Tanzania Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uhujumu kwa ajili ya kesi yao ya Uhujumu Uchumi na Ugaidi kuendelea na ushahidi.

Shauri la Mbowe namba 16/2021 linasikilizwa mbele ya Jaji Mustafa Siyani ikiwa ni kesi ndogo ndani ya kesi ya msingi.

Mbali na Mbowe, washitakiwa wengine katika kesi hiyo ni Halfan Bwire, Hassan Adam Kasekwa na Mohammed Abdillah Lingwenya.