Uko hapa: NyumbaniHabari2021 09 19Article 558427

Siasa of Sunday, 19 September 2021

Chanzo: globalpublishers.co.tz

Mbunge Kawawa Apata Ajali

Mbunge Kawawa Apata Ajali Mbunge Kawawa Apata Ajali

MBUNGE wa Jimbo la Namtumbo, Vita Kawawa amepata ajali katika eneo la Nalasi wilayani Tunduru akiwa kwenye ziara ya Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara, Christina Mndeme ambaye ana ziara leo huko Namtumbo, mkoani Ruvuma.Mbunge huyo na watu wote waliokuwa kwenye gari hilo lililopinduka, wametoka salama.