Uko hapa: NyumbaniHabari2021 06 10Article 542095

Habari Kuu of Thursday, 10 June 2021

Chanzo: ippmedia.com

Mbunge asifia mavazi wabunge wanawake, aomba dawati la wanaume

Mbunge asifia mavazi wabunge wanawake, aomba dawati la wanaume Mbunge asifia mavazi wabunge wanawake, aomba dawati la wanaume

Mbunge huyo ameomba muongozo huo leo Alhamisi, Juni 10, 2021 aliposimama kusifia mavazi mazuri yenye staha ambayo wabunge wanawake wameanza kuvaa akisisitiza huo ni mfano wa kuigwa.

“Spika ukinipa nafasi niwape zawadi baadhi ya wabunge wanawake hapa maana kweli wamevalia vizuri na huu ni mfano wa kuigwa maeneo yote,” amesema Amar.

Itaumbukwa kuwa siku za hivi karibuni Mbunge wa Momba (CCM),  Condesta Sichalwe alitolewa nje ya ukumbi wa Bunge na Spika Job Ndugai kutokana na kuvaa vazi lililodaiwa lisilokuwa na staha.

Kuhusu dawati la wanaume ameomba wabunge wanawake wasaidie katika majimbo yao ili kuanzishwe dawati la wanaume kwa kuwa kuna uonevu wanaokumbana nao.

Join our Newsletter