Uko hapa: NyumbaniHabari2021 06 22Article 543757

Siasa of Tuesday, 22 June 2021

Chanzo: millardayo.com

Mchumba wa Nikk wa Pili afunguka "Nikki ndoto yake ni kuwa Rais"

Mchumba wa Nikk wa Pili afunguka play videoMchumba wa Nikk wa Pili afunguka "Nikki ndoto yake ni kuwa Rais"

Mrembo Joan ni mchumba wa Nikk wa Pili ambae jana alikuwa ni miongoni mwa watu walioshuhudia kiapo cha Nikki wa Pili kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe. Sasa Joan kupitia Ayo TV & Millardayo.com amefunguka na kuweka wazi ndoto ya Nikki wa Pili ambae leo hii ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya.