Uko hapa: NyumbaniHabari2021 09 14Article 557446

Habari Kuu of Tuesday, 14 September 2021

Chanzo: globalpublishers.co.tz

Mfahamu Hans Pope: Alitaka Kupindua Nchi, Baba Yake Aliawa - Video

Mfahamu Hans Pope: Alitaka Kupindua Nchi, Baba Yake Aliawa - Video play videoMfahamu Hans Pope: Alitaka Kupindua Nchi, Baba Yake Aliawa - Video

Zacharia Hans Pope amefariki dunia Septemba 11, mwaka huu na ameacha pengo hasa kwa wanamichezo lakini ana historia ndefu kisiasa ambayo wengi hawaijui.

Hans Pope aliwahi kuhukumiwa kifungo cha maisha kwa kosa la kutaka kumpindua Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere. Hili vijana wengi hawalijui.