Uko hapa: NyumbaniHabari2021 10 12Article 562903

Habari Kuu of Tuesday, 12 October 2021

Chanzo: www.habarileo.co.tz

Mikoa mitano itakayopata mgao mkubwa wa fedha za IMF hii hapa

Mikoa mitano itakayopata mgao mkubwa wa fedha za IMF hii hapa Mikoa mitano itakayopata mgao mkubwa wa fedha za IMF hii hapa

Mikoa mitano itakayonufaika na mgao mkubwa wa fedha za benki ya dunia kwa ajili ya ujenzi wa madarasa 12,000 ya sekondari ili kupambana na Corona ni Mwanza ambayo imepewa sh bilioni 19.7 ambayo itawawezesha kujenga madarasa 985.

Mkoa wa pili ni Dar es Salaam ambapo imepewa sh bilioni 18. 860, Geita imepewa sh bilioni 14.840, Morogoro imepewa sh bilioni 14.140 na Kagera imepewa sh bilioni 14.180.