Uko hapa: NyumbaniHabari2022 01 12Article 585250

Habari Kuu of Wednesday, 12 January 2022

Chanzo: www.tanzaniaweb.com

Mke auawa kikatili nyumbani, mumewe atoweka, Majirani wasimulia (video+)

Mke auawa kikatili nyumbani, mumewe atoweka play videoMke auawa kikatili nyumbani, mumewe atoweka

Hospital ya taifa ya Afya ya Akili Mirembe imetoa taarifa ya kufariki kwa aliyekuwa mtumishi wa Hospital hiyo Rufina Komba aliyekutwa ameuwawa kikatili nyumbani kwake Mchese jijini Dodoma.

Majirani wamesema taarifa ya tukio hilo wameipata majira ya saa saba usiku na mumewe akimbia kusikojulikana.

Sikiliza majirani wakizungumzia tukio hilo;