Uko hapa: NyumbaniHabari2021 06 04Article 541087

Habari Kuu of Friday, 4 June 2021

Chanzo: millardayo.com

Mkurugenzi wa Mashtaka afunguka sababu za Sabaya kusomewa mashtaka

Mkurugenzi wa Mashtaka afunguka sababu za Sabaya kusomewa mashtaka play videoMkurugenzi wa Mashtaka afunguka sababu za Sabaya kusomewa mashtaka

Mkurugenzi msaidizi wa mashtaka Tumain Kweka amezungumzia mbele ya waandishi wa habari leo June 4, 2021 sababu za aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai Lengai ole Sabaya kushtakiwa Arusha, unaweza ukaboyeza play kufahamu alichozungumza.

Join our Newsletter