Uko hapa: NyumbaniHabari2021 11 20Article 573001

Habari Kuu of Saturday, 20 November 2021

Chanzo: www.tanzaniaweb.com

Moto Wateketeza Maduka Geita

Moto Wateketeza Maduka Geita Moto Wateketeza Maduka Geita

Baadhi ya maduka ya nguo na magenge ya wajasiliamali wa mboga mboga katika Soko la CCM lililopo mji mdogo Katoro wilaya na Mkoa wa Geita vimeteketea kwa moto alfajili ya leo huku chanzo chake kikiwa hakijafahamika.

Tayari jeshi la zima moto na uokoaji linaendelea na jitihada za kuuzima moto huo.

Ikumbukwe kuwa hii ni mara ya pili ndani ya miezi 12 ambapo mwezi Novemba, mwaka jana soko hilo lilikumbwa na tukio kama hilo.