Uko hapa: NyumbaniHabari2021 08 20Article 552799

Habari za Mikoani of Friday, 20 August 2021

Chanzo: millardayo.com

Msafara uliobeba mwili wa Bilionea ukitokea KIA baada ya kutokea South Africa (Video+)

Msafara uliobeba mwili wa Bilionea ukitokea KIA baada ya kutokea South Africa (Video+) play videoMsafara uliobeba mwili wa Bilionea ukitokea KIA baada ya kutokea South Africa (Video+)

Mwili wa bilionea Mathias Manga ambaye alifariki nchini South Afrika August 12,2021 umeingia nchini na nakushukia katika Uwanja wa KIA kisha kupelekea nyumbani kwake.Marehemu ataagwa Siku ya Jumapili nakuzikwa siku ya jumatatu August 23 nyumbani kwao Manyire Wilayani Arumeru mkoani Arusha.