Uko hapa: NyumbaniHabari2021 06 29Article 544747

Uhalifu & Adhabu of Tuesday, 29 June 2021

Chanzo: ippmedia.com

Mshukiwa wa wizi aliyevalia mithili ya mwanamke akamatwa

Mshukiwa wa wizi aliyevalia mithili ya mwanamke akamatwa Mshukiwa wa wizi aliyevalia mithili ya mwanamke akamatwa

Peter Omweno Momanyi mwenye umri wa miaka 24 alikamatwa akiwa amevaa kama mwanamke pamoja na mwenzake John Muchiri Kimani mwenye umri wa miaka 25.

Washukiwa hao walikaidi agizo la Afisa mmoja wa polisi aliyewataka wasimame baada ya kumuangalia mmoja wao kwa karibu na kugundua kwamba hakuwa mwanamke.

Aligeuka nyuma na kuwaamuru wasimame lakini walikaidi maagizo na kutoka mbio .

Majambazi, hao hata hivyo hawakutarajia kuzidiwa kasi na afisa huyo wa polisi aliyefaulu kuwakimbiza hadi akawakamata .