Uko hapa: NyumbaniHabari2021 06 03Article 540745

Habari Kuu ya

Chanzo: millardayo.com

Msigwa, Sugu wamshtaki AG na Kamishina Magereza (+video)

Msigwa, Sugu wamshtaki AG na Kamishina Magereza (+video) play videoMsigwa, Sugu wamshtaki AG na Kamishina Magereza (+video)

Waliokuwa wabunge wa Iringa na Mbeya Mjini, Mchungaji Peter Msigwa na Joseph Mbilingi “SUGU” wamefungua kesi za Kikatiba katika Mahakama Kuu ya Tanzania masjala Kuu ya Dar es Salaam dhidi ya Mwanasheria Mkuu na Kamishina wa Magereza Tanzania.

Wawili hao wamefungua kesi hiyo wakipinga ukiukwaji wa haki zao za msingi wakati wa kutumikia adhabu zao waliopewa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya.

Join our Newsletter