Uko hapa: NyumbaniHabari2021 10 26Article 565900

Habari Kuu of Tuesday, 26 October 2021

Chanzo: www.tanzaniaweb.com

Mwanzo Mwisho: Kinachoendelea Mahakama Kuu kwenye kesi ya Mbowe

Mwanzo Mwisho: Kinachoendelea Mahakama Kuu kwenye kesi ya Mbowe Mwanzo Mwisho: Kinachoendelea Mahakama Kuu kwenye kesi ya Mbowe

Baada ya kujitoa kwa Jaji Siyani aliyekua anaendesha kesi ya Ugaidi na Uhujumu Uchumi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe, Kesi hiyo imepata Jaji mwingine aitwaye Joachim Tiganga

Jaji Tiganga amejitambulisha katika Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi mbele ya washtakiwa na upande wa mashtaka.

Ni October 26, 2021, Nchini Tanzania ndani ya jiji la Dar es salaam katika Mahakama Kuu ya Makosa ya Rushwa na Ugaidi inaendelea kusikilizwa kesi ya Jamhuri dhidi ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na walinzi wake ambao kwa pamoja wanatuhumiwa kupanga matukio ya ugaidi, uhujumu uchumi na kudhuru viongozi.

Leo tena tunakuletea mtiririko wa maelezo ya kesi yanavyosomwa moja kwa moja kutokea chumba cha Mahakama Kuu.

Kupata mpangilio mzuri wa kesi yote tafadhali anza kusoma tweet ya chini kurudi juu, na ufanye kurefresh browser yako ili kupata taarifa mpya kila zinapoingia hapa.

CREDIT: Martin Maranja Twitter @IAMartin_

LIVE TWEETS KUTOKA MAHAKAMA KUU LEO OCTOBER 26 , 2021