Uko hapa: NyumbaniHabari2021 11 24Article 573931

Habari Kuu of Wednesday, 24 November 2021

Chanzo: www.tanzaniaweb.com

Mwili wa Baba Yake Bashe Wawasili Nzega kwa Mazishi

Mwili wa Baba Yake Bashe Wawasili Nzega kwa Mazishi Mwili wa Baba Yake Bashe Wawasili Nzega kwa Mazishi

MWILI wa Baba mzazi wa Naibu Waziri wa Kilimo Hussein Bashe, Sheikh Mohamed Bashe umewasili nyumbani Mjini Nzega usiku huu ukitokea Afrika Kusuni.

Sheikh Bashe alifikwa na mauti wakati akipatiwa matibabu Novemba 23, na kwamba taratibu za ibada zinaendelea ili mwili huo uweze kupumzishwa kwenye nyumba yake ya milele.

Viongozi mbalimbali wa Chama na Serikali wakiwemo mawaziri wamefika nyumbani kwa Naibu Waziri Bashe mjini Nzega ambapo wamejumuika pamoja na waombolezaji wengine kuupokea mwili huo.