Uko hapa: NyumbaniHabari2021 08 28Article 554131

Habari Kuu of Saturday, 28 August 2021

Chanzo: millardayo.com

PICHA 10:IGP Sirro alivyoshiriki kuwaaga Askari waliofariki katika majibizano ya Risasi DSM

PICHA 10:IGP Sirro alivyoshiriki kuwaaga Askari waliofariki katika majibizano ya Risasi DSM PICHA 10:IGP Sirro alivyoshiriki kuwaaga Askari waliofariki katika majibizano ya Risasi DSM

Ni Agosti 27, 2021 ambapo imefanyika shughuli ya kuwaaga Askari waliofariki katika majibizano ya Risasi mnamo Agosti 25,2021 katika barabara ya Alhassan Mwinyi.

Sasa miongoni waliohudhuria shughuli hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Polisi Kilwa Road ni Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Simon Sirro, hapa nimekusogezea picha 10 kile kilichojiri.

.........