Uko hapa: NyumbaniHabari2022 01 12Article 585247

Habari Kuu of Wednesday, 12 January 2022

Chanzo: www.tanzaniaweb.com

Panya Magawa atafutiwa mrithi wake (+Video)

Kituo cha mradi wa Apopo chasaka mrithi wa Panya Magawa play videoKituo cha mradi wa Apopo chasaka mrithi wa Panya Magawa

Siku chache tangu kutangazwa kwa kifo cha Panya aliekuwa akitegua mabomu nchini Cambodia, Panya Magawa, ambae alipata mafunzo katika chuo cha SUA mkoani Morogoro.

Mkurugenzi wa kituo cha Apopo ambacho ndio hasa kinachojihusisha na utoaji mafunzo wa Panya hao, amesema wanaanda Panya ambae atamrithi Panya Magawa.

Tazama Video kwa undani kusikia walichozungumza;