Uko hapa: NyumbaniHabari2021 09 21Article 558739

Uhalifu & Adhabu of Tuesday, 21 September 2021

Chanzo: eatv.tv

Polisi waeleza sababu za kuwepo kwenye kesi

Kamanda wa Jeshi la Polisi kanda maalum Dar es Salaam, ACP Muliro Jumanne Muliro. Kamanda wa Jeshi la Polisi kanda maalum Dar es Salaam, ACP Muliro Jumanne Muliro.

Jeshi la Polisi limesema kuwa kilichopelekea wao kuanza kupitisha watu mahakamani kwa majina kwenye kesi ya Mbowe hapo jana ni kwamba kwa kesi za namna hiyo kama uhujumu uchumi, polisi wanalo jukumu la kuwalinda watuhumiwa, wasikilizaji, upande wa mashtaka na upande wa utetezi.

Kauli hiyo imetolewa leo Septemba 21, 2021, na Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro, wakati akizungumza kwenye kipindi cha SupaBreakfast ya East Africa Radio