Uko hapa: NyumbaniHabari2021 05 26Article 539884

Uhalifu & Adhabu of Wednesday, 26 May 2021

Chanzo: millardayo.com

Polisi walivyomkamata mwanamke akiwa na kiwanda cha kutengeneza pombe feki (+video)

Polisi walivyomkamata mwanamke akiwa na kiwanda cha kutengeneza pombe feki (+video) play videoPolisi walivyomkamata mwanamke akiwa na kiwanda cha kutengeneza pombe feki (+video)

Jeshi la Polisi mkoani Arusha linamshikilia mwanamke mmoja mkazi wa Sakina kwa tuhuma za utengenezaji wa pombe feki,Kamanda wa polisi mkoani Arusha Justine Masejo anaeleza jinsi walivyomkamata mtuhumiwa huyo.

“Tulifanya oparesheni maalumu nakumkamkamata mwanamke mwenye umri wa miaka 31 akiwa ana simamia kiwanda feki,nitoe onyo kali zoezi hili ni endelevu”-RPC Masejo

Join our Newsletter