Uko hapa: NyumbaniHabari2021 06 11Article 542302

Habari za Mikoani of Friday, 11 June 2021

Chanzo: millardayo.com

RC Chalamila akabidhi ofisi Mwanza (+picha)

RC Chalamila akabidhi ofisi Mwanza (+picha) RC Chalamila akabidhi ofisi Mwanza (+picha)

Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Albert Chalamila amekabidhi rasmi Ofisi leo June 11, 2021 kwa Mkuu wa Mkoa mpya wa Mwanza Robert Gabriel.

Uteuzi wa Chalamila umetenguliwa na Rais Samia Suluhu Hassan kwenye mabadiliko madogo ya Wakuu wa Mikoa aliyoyafanya ambapo Mkuu wa Mkoa wa Mara Mhandisi Robert Luhumbi amehamia Mkoa wa Mwanza kuchukua nafasi ya Chalamila huku RC wa Tabora Ally akienda Mara kuwa RC akichukua nafasi ya Gabriel.

BALAAH LA ZUCHU KWENYE MKUTANO WA RAIS SAMIA NA WANAWAKE

Join our Newsletter