Uko hapa: NyumbaniHabari2021 05 27Article 540223

Habari za Mikoani of Thursday, 27 May 2021

Chanzo: ippmedia.com

RC Dar kurudisha ombaomba makwao

RC Dar kurudisha ombaomba makwao RC Dar kurudisha ombaomba makwao

RC Makalla amesema hayo Leo Mei 27, 2021 katika kikao cha Asasi za kiraia kinachohusu ni namna gani serikali inaweza kutatua suala la ukatili wa kijinsia, huku akiwaagiza Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi wa Mkoa huo kuhakikisha wanasimamia zoezi hilo kikamilifu.

Hata hivyo Makalla amewasihi Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi kutafuta makawakala wanaowatumia ombaomba hao kama kitega uchumi na kuhakikisha wanafikishwa katika vyombo vya sheria.

Aidha, RC huyo amesema kuanzia sasa ofisi yake iko tayari kutoa nauli kwa ombaomba yoyote ambaye yuko tayari kurudi nyumbani bila shuruti ya serikali.

Join our Newsletter