Uko hapa: NyumbaniHabari2021 08 26Article 553762

Habari za Mikoani of Thursday, 26 August 2021

Chanzo: TanzaniaWeb

RC Makalla, Kuzunguka mtaa kwa mtaa kuzungumza na wananchi.

Amos Makalla, Mkuu wa Mkoa wa DSM. Amos Makalla, Mkuu wa Mkoa wa DSM.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam ,Amos Makalla, ameahidi kuzunguka sehemu mbalimbali za Jiji la Dar es salaam , ili kusikiliza kero za Wananchi Moja kwa Moja na Kuzifanyia Kazi .

Amefikia hatua hiyo mara baada ya kupokea maombi mengi kutoka kwa wananchi na wadau wamaendeleo jijini humo ya kumtaka kukutana na waanchi ili kuweza kuzifahamu kero na changamoto wanazopitia wananchi hao.

Makalla ameahidi kuanza kulitekeleza hilo Kuanzia Jumatatu August 30 , ambapo ataanza na Wakazi wa Kawe kwenye Uwanja wa Tanganyika Packers .