Uko hapa: NyumbaniHabari2022 01 03Article 582826

Habari Kuu of Monday, 3 January 2022

Chanzo: www.tanzaniaweb.com

Rais Amtumbua Mkuregenzi Mkuu Shirika la Utangazaji

Rais Amtumbua Mkuregenzi Mkuu Shirika la Utangazaji Rais Amtumbua Mkuregenzi Mkuu Shirika la Utangazaji

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Zanzibar, Dk. Saleh Yusuf Mnemo.

Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi wa Zanzibar, Mhandisi Zena Said, utenguzi huo umeanza leo, Januari 3, 2022.