Uko hapa: NyumbaniHabari2021 08 28Article 554107

Diasporian News of Saturday, 28 August 2021

Chanzo: TanzaniaWeb

Rais Dkt. Mwinyi avunja Bodi ya Shirika la Nyumba

Dkt. Hussein Ali Mwinyi Dkt. Hussein Ali Mwinyi

Rais wa Zanzibar, Dkt.Hussein Ali Mwinyi, ametangaza kuvunja Bodi ya Shirika la Nyumba kuanzia leo Agosti 27,2021.

Vilevile, Dkt. Mwinyi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi amevunja Bodi ya Uhaulishaji Ardhi Visiwani humo.

Bado sababu za kuvunjwa kwa bodi hiyo hazijawekwa bayana.