Uko hapa: NyumbaniHabari2021 09 19Article 558310

Diasporian News of Sunday, 19 September 2021

Chanzo: millardayo.com

Rais Mwinyi "Nimeziba mianya ya wizi, wanachukua fedha za Serikali (video+)"

Rais Mwinyi play videoRais Mwinyi "Nimeziba mianya ya wizi, wanachukua fedha za Serikali (video+)"

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kuwa juhudi za makusudi zimechukuliwa na Serikali anayoiongoza katika kuziba mianya ya wizi wa fedha za Serikali.

Alisema kuwa hatua hiyo ameichukua kwa sababu anataka fedha za Serikali ziingie katika mfuko wa Serikali ili ziweze kuwafaidisha wananchi walio wengi badala ya wale wachache.

Ayo TV & Millardayo.com imekuandalia hapa stori kamili unaweza ukabonyeza play kufahamu zaidi.