Uko hapa: NyumbaniHabari2021 08 13Article 551464

Diasporian News of Friday, 13 August 2021

Chanzo: www.habarileo.co.tz

Rais Mwinyi asisitiza taadhari Corona

Rais Mwinyi asisitiza taadhari Corona Rais Mwinyi asisitiza taadhari Corona

Rais wa Zanzibar, Dk. Hussein Mwinyi amesisitiza kuendelea kuchukua tahadhari ya ugonjwa wa korona akisema mbali na kuathiri afya za binadamu lakini pia unadhoofisha uchumi wa nchi. Amesema hayo leo Ijumaa katika Msikiti wa wa Masjid Mamiali, Mkoa Mjini Magharibi Unguja.