Uko hapa: NyumbaniHabari2022 01 08Article 584209

Habari Kuu of Saturday, 8 January 2022

Chanzo: www.tanzaniaweb.com

Rais Samia Afanya Mabadiliko Baraza la Mawaziri, Tazama Hapa

Rais Samia Afanya Mabadiliko Baraza la Mawaziri, Tazama Hapa Rais Samia Afanya Mabadiliko Baraza la Mawaziri, Tazama Hapa

Rais Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri. Akitangaza mabadiliko hayo leo Jumamosi Januari 8, 2021 Ikulu jijini Dar es Salaam, Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Hussein Kattanga amesema Rais amefanya mabadiliko ya muundo katika wizara tatu.

Rais Samia amefanya mabadiliko hayo ikiwa anatimiza ahadi yake ya kufanya mabadiliko ya Baraza la Mawaziri.

Ofisi ya Rais
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Kazi Maalum – Kapeni Geroge Mkuchika

Waziri wa Utumishi – Jenista Mhagama

Naibu Waziri Utumishi - Deogratius John Ndejembi

TAMISEMI

Waziri - Innocent Bashungwa

Naibu Waziri - David Silinde

Naibu Waziri - Dugange

Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira

Waziri - Suleimani Jafo

Naibu Waziri - Hamis Hamis

Wizara ya Kazi Ajira

Waziri - Ndalichako

Naibu Waziri - Patrobas Katambi

Wizara ya Fedha

Waziri - Mwigulu Mwigulu
Naibu Waziri - Chande

Wizara ya Ulinzi

Waziri - Stergomena Tax

Wizara ya Sheria na Katiba
Waziri -  George Simbachawene
Naibu Waziri - Godfrey Mizengo Mizengo Pinda

Wizara ya Kilimo
Waziri - Hussein Bashe
Naibu Waziri - Anthony Mavunde

Wizara ya Uvuvi
Waziri - Mashimba Ndaki
Naibu Waziri - Abdallah Hamisi Ulega

Wizara ya Ardhi
Waziri - Angelina Mabula
Naibu Waziri - Ridhiwani Kikwete

Wizara ya Mambo ya Ndani

Waziri  - Mhandisi Hamad Masauni
Naibu Waziri - Sagini Jumanne Abdallah

Wizara ya Mambo ya Nje
Waziri - Liberata Mulamula
Naibu Waziri - Mbaruku

Wizara ya Maliasili
Waziri - Dkt. Damas Ndumbaro
Naibu Waziri - Mary Masanja

Wizara ya Nishati
Waziri - January Makamba
Naibu Waziri - Steven Byabato

Wizara ya Madini
Waziri - Dkt. Dotto Biteko
Naibu Waziri - Dk Stephen Kiluswa

Wizara ya Ujenzi
Waziri - Prof. makame Mbarawa
Naibu Waziri Ujenzi - Atupele Mwakibete
Naibu Waziri Uchukuzi - Godtlfrey Kasekenya

Wizara ya Viwanda
Waziri  - Ashantu Kijaji
Naibu Waziri - Exaud Kigahe 

Wizara ya Afya
Waziri - Ummy Mwalimu
Naibu Waziri - Godwin Mollel

Wizara ya Elimu
Waziri - Prof. Adolf Faustine Mkenda
 Omary Kipanga


Wizara ya Maendeleo ya Jamii
Waziri - Dk. Dorothy Gwajima 
Naibu Waziri - Mwanaidi Hamis

Wizara ya Maji
Waziri - Jumaa Aweso
Naibu Waziri - Maryprisca Winfried Mahundi

Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo
Waziri - Mohammed Mchengerwa
Naibu Waziri - Pauline Philipo Gekul

Wizara ya Habari na Mawasiliano
Waziri - Nape Nnauye
Naibu Waziri - Kundo Mathew.