Uko hapa: NyumbaniHabari2022 01 11Article 584998

Habari Kuu of Tuesday, 11 January 2022

Chanzo: www.tanzaniaweb.com

Rais Samia Afanya Uteuzi Mpya

Rais Samia Afanya Uteuzi Mpya Rais Samia Afanya Uteuzi Mpya

Rais Samia Suluhu amemteua Mhifadhi William Mwakilema kuwa Kamishna wa Uhifadhi wa TANAPA. Kabla ya uteuzi huo alikuwa Naibu Kamishna wa shirika hilo.

Mhifadhi Mwakilema anachukua nafasi ya Dkt. Allan Herbert Kijazi ambaye ameteuliwa kuwa Katibu Mkuu, Wizara ya Ardhi.