Uko hapa: NyumbaniHabari2021 06 23Article 543907

Habari Kuu of Wednesday, 23 June 2021

Chanzo: globalpublishers.co.tz

Rais Samia Ahudhuria Mkutano Wa SADC Msumbiji

Rais Samia Ahudhuria Mkutano Wa SADC Msumbiji Rais Samia Ahudhuria Mkutano Wa SADC Msumbiji

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameshiriki Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika SADC unaofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa Joaquim Chissano uliopo Maputo nchini Msumbiji leo tarehe 23 Juni, 2021.

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx