Uko hapa: NyumbaniHabari2021 09 29Article 560401

Habari Kuu of Wednesday, 29 September 2021

Chanzo: globalpublishers.co.tz

Rais Samia Akutana na Kuzungumza na Tony Blair

Rais Samia Akutana na Kuzungumza na Tony Blair Rais Samia Akutana na Kuzungumza na Tony Blair

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu wa Uingereza Mhe. Tony Blair Ikulu Chamwino Jijini Dodoma leo Sept 29,2021.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiagana na Waziri Mkuu Mstaafu wa Uingereza Mhe. Tony Blair baada ya kumalizika kwa mazungumzo yao Ikulu Chamwino Jijini Dodoma leo Sept 29,2021. PICHA NA IKULU.