Uko hapa: NyumbaniHabari2022 01 12Article 585244

Habari Kuu of Wednesday, 12 January 2022

Chanzo: www.tanzaniaweb.com

Rais Samia Akutana na Ndugai Ikulu

Rais Samia Akutana na Ndugai Ikulu Rais Samia Akutana na Ndugai Ikulu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Leo Jumatano Januari 12, 2022 amekutana na kuzungumza na aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai (Mb) aliyefika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.