Uko hapa: NyumbaniHabari2021 05 27Article 540241

Habari Kuu of Thursday, 27 May 2021

Chanzo: globalpublishers.co.tz

Rais Samia Akutana na Rais wa Mahakama ya Afrika

Rais Samia Akutana na Rais wa Mahakama ya Afrika Rais Samia Akutana na Rais wa Mahakama ya Afrika

Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu (African Court on Human and Peoples’ Rights) Mhe. Jaji Sylvain Orè, Ikulu Jijini Dar es Salaam, leo tarehe 27 Mei, 2021.Michezo

Biashara

Burudani

Afrika

Maoni