Uko hapa: NyumbaniHabari2022 01 13Article 585427

Habari Kuu of Thursday, 13 January 2022

Chanzo: www.tanzaniaweb.com

Rais Samia Amwapisha Aisha Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi

Rais Samia Amwapisha Aisha Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi Rais Samia Amwapisha Aisha Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, amemuapisha Ndugu. Aisha S. Amour kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi (Sekta ya Ujenzi) katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Chamwino, Mkoani Dodoma leo tarehe 13 Januari 2022.