Uko hapa: NyumbaniHabari2022 01 13Article 585433

Habari Kuu of Thursday, 13 January 2022

Chanzo: www.tanzaniaweb.com

Rais Samia Amwapisha Said Mussa kuwa Balozi wa Tanzania Kuwait

Rais Samia Amwapisha Said Mussa kuwa Balozi wa Tanzania Kuwait Rais Samia Amwapisha Said Mussa kuwa Balozi wa Tanzania Kuwait

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, amemuapisha Ndugu. Said Shaibu Mussa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Kuwait katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Chamwino, Mkoani Dodoma leo tarehe 13 Januari 2022.