Uko hapa: NyumbaniHabari2021 06 29Article 544609

Habari Kuu of Tuesday, 29 June 2021

Chanzo: globalpublishers.co.tz

Rais Samia: Nipeni Muda Nijenge Nchi Kiuchumi - Video

Rais Samia: Nipeni Muda Nijenge Nchi Kiuchumi - Video play videoRais Samia: Nipeni Muda Nijenge Nchi Kiuchumi - Video

Rais Samia: Nipeni Muda Nijenge Nchi Kiuchumi-Video June 28, 2021 by Global Publishers

MAJIBU ya rais samia kuhusu katiba mpya na mikutano ya kisiasa: “nipeni muda nijenge nchi kiuchumi “Niwaomba sana Watanzania, kama mnavyosema nimeanza vizuri, nipeni muda niisimamishe nchi kiuchumi, halafu tutashughulikia mengine kama Katiba na kukutana na vyama vya siasa”